Thursday, 12 August 2010

Aug 13th Playlist



Mwanza Mwanza

Ni Hayo Tu

August 13

Fid Q.com
Fid Q - Mwanamalundi

Fid Q Ft Bi Kidude - Juhudi za wasiojiweza

Fid Q Ft Juma Nature - Utaua game

Fid Q Ft Nylon - Wananiita King

Fid Q Ft Qj - Kila siku

Fid Q Ft Mzungu Kichaa - Hey Lord

Fid Q - Temanoleji

23 comments:

  1. yo bro umetulia mbaya nakupabig up mzenya endelea kaza buti hivyo hivyo tupo pamoko kwa sna mzenya ful chalii wako wa a town nakuwakili malaysia japo kupiga nyimbo zako kaka ful!

    ReplyDelete
  2. ngosha ze swaga don uko juu kaka kama moshi wa blazee ni noumeer.

    ReplyDelete
  3. I apriiciate wit ya swaga don kak iyo ngoma uliyofanya na bi kidude umeifanyia kwa nani na mtunzi wa hiyo ngoma alikuwa ni nani ? let me know mzeiya

    ReplyDelete
  4. kaka kaza buti mwendo huo huo na ukizidi ndo pouwah... uko juu mzeiya...One love..

    ReplyDelete
  5. Happy birthday Fid Q, jambo 1 tu la kukumbka ni kumshukur mungu. Ni weng sana wanataman kufika hapo ulipo fikia lakn wanashndwa so it is only him who enabled u 2 reach a such stage. So endelea kuitetea kaz ya fasihi kama fanani hadhira nas tuko pamoja na wewe .don worry be proud with ur succes.

    ReplyDelete
  6. happy Birdhday brodah! ha2jui ni miaka mingapi siku ngapi wala masaa mangapi umeishi kwani ai husu ila MUNGU ndio wa kumshukuru kwa kila jambo! Happy Birthday again brather!

    ReplyDelete
  7. Hongera sana sana Fid Q. I am so proud of you. Pse make sure you update this awesome site mara kwa mara. kama utahitaji msaada tutafutane thru issamichuzi@gmail.com.

    HUU NI MFANO WA KUIGWA NA WASANII WOTE SERIOUS!

    ReplyDelete
  8. This is really hip hop, you are the king

    ReplyDelete
  9. Kwa niaba ya timu nzima ya Vijana FM, nakutakia kila la kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa!!

    ReplyDelete
  10. HAPPYBORZDEI NG'WANAMALUNDI! albertgsengo@yahoo.com
    PAMOJA KAMA MAWINGU NA ANGA.

    ReplyDelete
  11. Ngoma zako kali bro, ni maraha tu, keep it up .!

    ReplyDelete
  12. huu ni wakati wa kufata nyayo za sugu...unahusika sana mzee kwenye ukombozi wa nchi yetu....karibu sana chadema fid Q
    happy birthday!!
    Betram

    ReplyDelete
  13. wooooooooow! u truly from rock city nowonder u rock buddy, congrats

    ReplyDelete
  14. Brotha uko deep mbaya!much lurv

    ReplyDelete
  15. Arif yaani mi nikikusikia kila mara huwa natamani kama bado ningekua natema,vpi naweza kupata collection ya mp3?

    ReplyDelete
  16. kaka nitaendelea kusema kila siku juhudi zako zinawafanya waje wajifunze kwako kila siku!BONKEY KAIGEMBE YOUR FAN,

    ReplyDelete
  17. ur so swagertastic bro kip it up man.secret sin wont stay secret 4 very long.

    ReplyDelete
  18. Jaribu ku update kila mara bwana. Sio naingia nakutana na yale yale.

    ReplyDelete
  19. harakati ziendelee 2fike 2napotaka.

    ReplyDelete
  20. umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Thats watsup nigga..

    ReplyDelete
  21. Ebwana hii wananiita king imekaa njema:) Big up sana

    ReplyDelete