Sunday, 13 June 2010
Power to the Planet
Hi,
I am really interested in the positive hip hop I see coming out of Africa-- so I have decided to write my thesis on hip hop, youth identity and social change.
I am hoping that my research can help to add to the many voices that are drawing attention to all the cool stuff going on, and generate more support for these efforts!!
My initial idea is to focus on how hiphop artists view their role in society. I am looking to talk to various artists - to better understand how they became involved in hiphop and what inspires them to create.
If you have any thoughts, advice, suggestion or if would be willing to talk further please let me know!
I am excited to be able to use my dissertation to learn about the positive efforts going on... look forward to hearing from you Guys.
All the best,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
All the best mzee! Sasa, udadisi tu -- unapanga kuongea/kuhoji kila aina ya msanii? Kwasababu kama unavyojua, kuna 'gepu' fulani kati ya watu wanaofanya Hip Hop na Bongo Flava..au wote watajumuishwa?
ReplyDeleteBinafsi, nitaisubiri thesis kwa hamu ili nijue kama wasanii wengi wanajua nafasi yao kwenye jamii; na kama wanaitunza au kuithamini Sanaa kama mboni za macho yao.
Nice blog, btw!
The Don good idea,Hongera sana
ReplyDeleteBig up mzee dats gud...inaonyesha kiasi gani kijana unaupeo wa kuona mbali...
ReplyDeleteNadhani Prof. Perullo atakuwa of great help katika utafiti wako. Ameandika paper kadhaa kuhusu historia ya Hip Hop Tanzania.
ReplyDeletehttp://web.bryant.edu/~aperullo/
pongezi sana ngosha kwa uamuzi wako uliouchukua dhidi ya hiyo project na mimi nikiwa kama mdau wa sikunyingi wa hip hop hapa tz nakusaport kwa asilimia zaidi ya mia moja
ReplyDeleteila kabla hujaanza safari yako hiyo kuna watu wa muhimu sana ningependa uwashilikishe ktk mchakato wako mzima wa hiyo project as follows
chief ramson wa kwanza unit,sunday shomari aliyekuwa presenter wa radio one,mike t aliyekuwa presenter wa radio one bila kumsahau sebastian maganga,saigon aliyekuwa member wa DPT ,mr two, juma mchopanga,jos mtambo,solo thang, prof jay,Adili wa chapakazi,john maundi,p funk,immam abasi,jonh delinga na wengine wengi tu ambao kwa haraka haraka sio rahisi kuwakumbuka ambao ni wakongwe na wanaujua muziki wa tz hasa hip hop naimani unaweza ukpata maelezo yatakayo kusaidia sana ktk chakato wako huo
coz kuna watanzania wengi sana wasio ujua utamaduni wa hip hop kiasi cha kwamba mtu ukimtajia hip hop anajua ni muziki tu, na kama vile haitoshi atakwambia ni muziki wa kufoka foka bila ya kujali maudhui yaliyoko ndani yake
mimi binafsi naamini hata serikali yetu haijui kabisa hip hop ni nini na utamaduni mzima wa hip hop na akifika kipindi wajekutambua kiufasaha hata mashuleni wanaweza kupitisha baadhi ya nyimbo na kutumiwa ktk kujibia mitihani kama ilivyo kwa vitabu vya ushairi . nitafurahi kama nitapata feed back ya hiyo project yako na kama nitakuwa na lakuongeza nitakutumia email yangu ni venancesewa@yahoo.com